Akiwa kama mrembo ambaye amepata nafasi ya kuingia kwenye orodha ya celebs wa Tanzania katika tasnia ya ulimbwende, Lilian atazicheza nyimbo tano kali anazozipenda zaidi huku akijibu maswali ya kichokozi yanayomhusu.
The Playlist inakuwa hewani kila Jumapili saa kumi kamili jioni hadi saa kumi na moja kamili jioni kupitia 100.5 Times Fm.
Fuatilia The Playlist kwenye mitandao ya kijamii, Twitter na Instagram @LilOmmy @TimesfmTZ @lilytimoth

0 Maoni:
Toa Maoni