Kupitia ukurasa wake wa Instagram jana hiki ndicho alichoandika Steve ambaye ni mwenyekiti wa Bongo movie;
''Habari zenu wote mliokuwa lsta naimani ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa naomba mwenyezi mungu amlinde na kumuondolea malazi na kama kuna wenzetu wametangulia leo mungu awapokee uko waliko ok jana nilisema mtasema leo na leo nasema kama mwenyekiti wa bongo movei natumai kwanza kuna watu wanashindwa kujieshimu na kujitambua wao kina nani katika jamii na ukishindwa kujitambua kila unaloambiwa utaona unaonewa na mala nyingine kuona watu wanakuonea wivu huwa najiuliza kwa maendeleo yapi ok jamani dada zangu wa bongo movei kiukweli mnatia aibu ingawa si wote kweli kwa aya maisha yalivo magumu leo unaweza fanya ujinga manake mi naita ujinga kweli mwanaume mmoja anaweza chezea akili zenu ivo na kawaona wepesi ndomana anawazalilisha kwani mmeshindwa kabisa kujieshimu ivi mtajivunia nini uzeeni mimi nilikuwa malaya au mimi nilikuwa nachukua wanaume wa rafiki zangu kweli ni sifa iyo mnaifundisha nini jamiii mnaipereka bongo movei kuitwa kituo cha malaya alafu mlivyo wajinga mnasema makampuni ayatupi matangazo kwa tabia ipi nzuli uliyoonyesha kwa jamii mnafanya mpaka zifa kubwa msialikwe kutokana na tabia zenu na je mfanye uo umalaya muwe na vitu vya maana amna majumba amna nmtajivunia nini badaye mnashindwa kujieshimu ata chembe kuna mastaaaaa zaidi yenu na wametumia vizuli majina yao kwa kufanya vitu vya maana sana kwa mfano hoisi temu faraja nyarandu fraviana matata hapines magese miliamu odemba nyinyi mtajivunia nini huruma kwakweli kuna aja ya kumuomba mama teli awape somo mnazalaulika kwakweli sasa si muda wa kutukanana ni muda wa kazi ila mwisho kuna aja ya kuzalisha wasanii wangine wenye maadili ya sanaa kuliko hawa wanaoona ni mahali pa umalaya so kuna aja kujua aya yote unayofanya yana mwisho duniani twapita sasa ni kweli matatizo yametokea muuuungwana ni yule anayeomba msamaha kuomba msamaha itakusaidia si apa duniani ata kesho mbinguni wahenga wanasema tenda wema nenda zako usingoje ?(??? So @mtotowakitanzania @wemasepetu @wolpergambereal @new_kajala @instalimelight @raythegreatest @jb @imeldadepinky @usipojipangantakupanga @kidawa@isha buet naomba madamu usamehee na maisha yaendeeeeeleeeeeee naomba na dada''

0 Maoni:
Toa Maoni