Tiwa Savage acharuliwa na mashabiki baada ya kujiachia kihasara stejini

Weekend iliyopita mwanamuziki kutoka Nigeria Tiwa Savage ambaye ametoka kufunga ndoa ya kifahari iliyoacha gumzo,ndoa iliyofanyika Dubai na kuhudhuriwa na mastaa kibao toka pande hizo na nje ya nchi hiyo pia amewaacha midomo wazi mashabiki wa muziki baada kujiachia kihasara alipokuwa anatumbuiza kiasi cha maeneo nyeti kuonekana bila kificho!

Akiwa ametinga kivazi kilichoacha asilimia kubwa ya mwili wake wazi, Tiwa alimvuta stejini mmoja wa mashabiki waliohudhuriwa show hiyo na kunengua kihasara!


Tukio hilo limepokelewa kwa mtazamo tofauti na mashabiki ambao kupitia mtandao wamemchana na kumwambia aache kujifananisha na Beyonce yeye ni Mwafrika huku wengine wakishangaa mwanamke aliyeolewa anawezaje kujiachia namna hiyo. Chini ni baadhi ya makavu aliyopewa bidada huyo tiririka nayo mwenyewe...

* Tiwa ur a fine woman plus no woman should expose dat much weather married or nt! Ur just Dancing like a newly mad woman especialy dat first pix ! Its nt cool at ol . #OMa#


*Tiwa, be very careful If U continue this way, that guy that just wedded U is going to leave u. Take it or leave it. Let us watch and see. 



*This Girl Is Just An Attention Seeker, You aint sexy, besides you're a married woman, get a life, settle down and have kids, stop behaving like a hooker


*Not sexy!!!! Please stop lifting your legs shaking like Beyonce and all. Get your own identity. Even Beyonce won't bring a man in stage and open her legs like this when she knows she could be captured at a wrong angle 


*And shes actually married. Visit www.tinyphoenixx.blogspot.com for dating tips and inspirations


*And shes actually married. Visit www.tinyphoenixx.blogspot.com for dating tips and inspirations

0 Maoni:

Toa Maoni