Kuna usemi unaosema kwenye kila mafanikio ya mwanaume nyuma yake kunakuwa na mwanamke....Yes!
Baada ya Siku ya Jumamosi May 03 Diamond kuvunja rekodi kwa kuibuka na Tuzo saba za muziki katika KTMA,kupitia ukurasa wake wa Instagram jana amewaanika Wanawake anaojivunia walio nyuma ya mafanikio yake.



0 Maoni:
Toa Maoni