![]() |
| Lil Kim na baba mtoto |
Mtoto huyo amepatiwa amepatiwa jina la Royal Reign...Royal Reign ni princess mwingine kutoka kwa mwanadada huyu huku akiungana na mastaa wenzake Beyonce na Jay Z(Blue Ivy ) na Kanye West na Kim Kardashian (North West ).Kim amempata mtoto huyo na rapper wa Marekani anaefahamika kwa jina la Mr. Paper.
Wakati Lil Kim akiingia kwenye ulimwengu wa 'umama' mwanamuziki Ciara tayari yuko fiti na kashaanza kukata mitaa ikiwa ni wiki tatu baada ya kujifungua mtoto wa kiumeFuture Zahir Wilbum
![]() |
| Na uzito wa uzazi ushapungua yaani yuko fiti |



0 Maoni:
Toa Maoni