 |
| Mchanganyiko wa picha nilipopata nafasi ya kusalimiana na mashabiki |
Jumamosi kulikuwa na mechi Mbagala kati ya Times fm The dream team na Mbagala Veterans ambapo matokeo yalikuwa ni sare ya 1-1.
Mechi ilichezwa uwanja wa Zakhiem na wananchi kutokana maeneo mbalimbali walifurika sana na kuonyeza mapenzi ya kutoka.
Hizi ni picha za baadhi ya matukio siku hiyo..
 |
| Kushoto Zourha Malisa, mimi katikati na Omary Tambwe |
 |
| Mkurugenzi wa Times fm Mr. Rehure Nyaulawa |
 |
| Fadhili Haule |
 |
| Mambo yalikuwa hivii |
|
|
 |
| Cliford Mario Ndimbo akisalimiana na mashabiki |
 |
| Lil Ommy |
 |
| Aliyeshika mic anaitwa Moko biashara,anayeandika ni Dj R Guy |
 |
| Dida akizungumza na mashabiki wake |
 |
| Mkisi na mashabiki |
 |
| Mimi na mashabiki, walionyesha love ya kutosha |
 |
| Cliford Ndimbo |
 |
| Kulinogajee |
0 Maoni:
Toa Maoni