Mbali na kuwa na tetesi kuwa wamebwagana,Couple yenye mguvu na inayotengeneza vichwa vya habari kila mara kwenye mitandao Beyonce na Jay Z wameonekana pamoja jijini New York wakiwa na mtoto wao Blue Ivy.
Mbali na kuonekana amekuwa sana, Blue Ivy ameshaanza kutengenezwa muonekano baada ya kutengenezwa dreadlocks kichwani.. unaonaje muonekano huu HOT OR NOT?



0 Maoni:
Toa Maoni