Baada ya picha ya mhalifu kuvutia wanawake sasa atangaziwa dau nono la dola 100,000 kucheza pono!


Kitengo cha polisi cha Stockton, California kilizua mjadala mpya baada ya kupost kwenye Facebook picha za mhalifu ili kipate msaada wa taarifa zaidi za raia lakini kilichotokea ni picha hiyo ikugeuka kivutio zaidi wanawake walibaki kuzungumzia uzuri wa mwanaume huyo kiasi cha kutaka kuchangia pesa ili wamtolee dhamana!

Picha ya mhalifu huyo aliyetajwa kwa jina la Jeremy Meeks (30) anayekabiliwa na kiesi ya kumiliki bunduki kinyume cha sheria imepata likes zaidi ya 66,000 na comments zaidi ya 20,000 kutokana na uzuri wa mhalifu huyo.

Baada ya kugeuka staa ghafla hasa kwenye Internet sasa kijana huyo ametangaziwa ofa ya dola 100,000 ili awe star kwenye filamu za kikubwa (porn films)!!

Ofa hiyo imetangazwa na Dogfart Productions ambao wanashughulika na mambo ya filamu za 'kikubwa'. Kwa mujibu wa kampuni hiyo, jamaa amepewa ofa hiyo ya dau nono ili aonekane kwenye scene mbili kwa wiki.
 “Tunnafikiri muonekano wa Jeremy ni sahihi kabisa kwa mtandao wetu. Tuko tayari kutimiza mamia ya ndoto za maelfu ya wanawake wenye 'ashki' kwa mwanaume huyu anayevutia kuwa kweli”.
 Hizi ni baadhi ya picha za Jeremy akiwa katika gwanda za kijelajela..

0 Maoni:

Toa Maoni