Mcheza mpira wa Italia mwenye rekodi ya utukutu Mario Balotelli amenaswa kwenye fukwe za Miami akiwa amejiachia na mchumba wake aliyemvisha pete siku chache kabla ya kombe la dunia mwanamitindo Fanny Neguesha huku akionekana kakolea haswaa penzini!
Wanasema linapokuja swala la mapenzi hata Simba anapoa lol! Cheki picha hapo chini walivyojiachia.....








0 Maoni:
Toa Maoni