Inawezekana mafanikio aliyonayo Diamond kwa sasa yanatokana na barakaa kubwa anayopata kutoka kwa mama yake kutokana na kuijali familia yake kwa kiasi kikubwa!
Wakati akiwa nje ya nchi ya nchi kwa shughuli za kimuziki, Diamond amesapraizi mama yake kwenye birthday yake baada ya kumzawadia gari Toyota Harrier Lexus mpyaa! Soma alichoandika Diamond baada ya kutoa zawadi hiyo kwa mama yake pamoja na video fupi inayoonyesha mama akikabidhiwa zawadi hiyo.
''Na hiyo ndio ilikiwa surprise yangu ndogo kwa mama yangu...ila nlipoiona hii clip ghafla nikajikuta nami chozi linanitoka😓...i love you so much Mum... Mwanao bado niko America nahangaika, ila InshaAllah karibuni Nitarudi😟..... [And that was a little surprise for my mom...but after i saw this clip suddenly a tear came down on my eye😟.. I Love you so much Mum... Your Son is still in USA hustlin😓 But InshaAllah, am Coming back Home soon...] thank you @martinkadinda for this video Clip! #Toyota_Harrier_Lexus''
.

0 Maoni:
Toa Maoni