![]() |
| Wizkid na mpenzi wake Tania Omotayo |
Binti huyu ametumia mtandao wa twitter na kudai yeye ndie mpenzi wa Wizkid anayemridhisha huku akisema Tania atabaki kujiita mpenzi tu huku taarifa zikidai kuwa huwa anajirusha na Wizkid muda wote anapokuwa USA!
Soma alichokiandika na ucheki picha za binti huyu...
![]() |
| Huyu ndio binti anayedai ni mpenzi wa Wizkid |









0 Maoni:
Toa Maoni