Kama umepitia mitandao jana na leo basi utakuwa umekutana na habari ya mtoto wa kike wa miaka mitatu aliyefufuka wakati wa mazishi yake huko Ufilipino.Basi habari ya kusikitkisha ni kwamba mtoto huyo amefariki dunia tena na dakatari kathibitisha hilo...huzuni!
Hii ni ripoti iliyotolewa baada ya mtoto kufariki tena;
Mtoto huyo alitangazwa kufariki Ijumaa baada ya kupata homa na mazishi yake yakapangwa kufanyika siku inayofata ambapo wakati shughuli ya mazishi ikiendelea kanisanini huko Aurora mtoto huyo alijitikisa na kuanza kupumu tena kitu kilichozua taharuki. Cheki video chini hapo inayoonyesha tukio.

0 Maoni:
Toa Maoni