Wakati mpenzi wake Karrueche Tran akitengeneza headlines baada kuangua kilio kwenye Telesheni wakati akifunguka kuhusu wakati mgumu anaokutana nao kuwa kimapenzi na mtu maarufu ambaye alikuwa na mpenzi maarufu zaidi duniani ambaye ni Rihanna , Chris Brown yeye ana jingine sasa baada ya ku-share picha ya mtindo wake mpya wa nywele mpya lakini akificha sura yake na kuwaacha mashabiki wakiwa na hamu ya kuona muonekano kamili..
 |
"Bringing back the 30's lol" Hii ni caption aliyoweka Chris kwenye picha hii
|
0 Maoni:
Toa Maoni