Rihanna asaula kushabikia kombe la dunia!


Rihanna amethibitisha kuwa yeye ni shabiki namba moja wa mpira baada kutua Brazil kushuhudia kombe la dunia akiwa na furaha ya ajabu kiasi cha kutamani kuvua nguo huku akijichanganya na wachezaji wa Ujerumani usiku wa weekend iliyoisha kusherekea ushindi wa kombe la dunia.
Akiwa amepozi na wachezaji wakiwemo Klose na Gotze,Riri alipata nafasi ya kupiga picha na kombe hilo huku akimwagiwa mabusu tele! Kupitia mtandao wa twitter ali-share furaha yake na hiki ndicho alichoandika..
"I touched the cup, held the cup, kissed the cup, took a selfie wit the cup!!! I meeeaan...... what is YO bucket list looking like bruh?"

0 Maoni:

Toa Maoni