PICHA: Mastaa waliovunja rekodi kwa 'kuharibu' kwenye Red carpet..wameharibu mbayaa!

Inapotokea kuna event yoyote sehemu yoyote mamcho yote hutupiwa kwa mastaa hasa kwenye swala zima la mavazi na inapokuja swala la zulia jekundu ndio hapo hujulikana nani kapendeza na nani kachemsha...

Hii ni list ya mastaa waliowahi kuchemsha vibaya mno kwenye red carpet kiasi cha kuacha gumzo midomoni. Wacheki wakiwa ndani ya mavazi yao yaliyofanya watajwe kwa kuchemsha mpaka leo.

Fantasia kwenye MTV Video Music Awards mwaka 2006

Lil Kim mwaka 2001  kwenye MTV Movie Awards..dada alichemka hatari duh!

PINK nae hii ilikuwa ni  2001 kwenye Billboard Awards hiki kivazi kinafanana na cha Rihanna cha juzijuzi ila hiki cha kizamani lol!

Mmmh..Britney Spears mwaka 2000 kwenye Billboard Music Awards

Celine Dion mwaka 2003 kwenye Billboard Music Award

Ciara hii ilikuwa ni 2004 Billboard Music Awards

Mary J. Blige mwaka 2001 kwenye Billboard Music Awards

Huyu anaitwa Gabourey Sidibe na hii ilikuwa mwaka 2014 kwenye Golden Globes

Kerli mwaka 2012 Billboard Music Awards

Whoopi Goldberg kwenye Oscars mwaka 1993

Victoria Rowell kwenye 61st Annual Primetime Emmy Awards..dada katupia kitu cha Obama

Ashley Olsen ndani dira mwaka 2013 “PUNK: Chaos To Couture” Costume Institute Gala

0 Maoni:

Toa Maoni