Rihanna anaswa akiwa kavuliwa viatu airpot huko LA

Mwanamuziki Rihanna amenaswa na kamera za mapaparazi wakati akifanyiwa ukaguzi( security check) kama wafanyavyo raia wa kawaida wanapotumia usafiri wa ndege huko LA Internation Airpot huku akiwa amevua viatu japo ni adimu kwa staa mkubwa kama yeye ambapo mara nyingi hupatiwa VIP treatment au husafiri kwa private jets...

Hizi ni baadhi ya picha za yaliyojiri...


0 Maoni:

Toa Maoni