Mwanamuziki Omarion na mpenzi wake ambaye ni mjamzito Apryl Jones wameshangaza watu baada ya kunaswa pamoja huku binti huyo akiwa kaanika tumbo lake hadharani!
Je ni sahihi kwa mwanamke mjamzito kuanika tumbo lake hadharani hivi?
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni