Baada ya kujisifia kuwa sasa amerudi na midoli/mapacha wawili kifuani (matiti bandia) baada ya kujitengeneza upya na kudai hakuna linaloshindikana chini ya jua,mrembo kutoka Kenya aliyetikisa vichwa vya habari baada ya kutokea kwenye video ya P Unit You Guy kama video Qeen na kusababisha video hiyo kufungiwa kwa kukosa maadili Vera Sidika amekutana na makavu kutoka kwa wananchi wenye hasira. (Angalia picha alipost Instagram na alichoandika kuhusu matiti yake hapo chini)
Vera Sidika apewa makavu baada ya kujisifia kuwa katengeza matiti feki
Baada ya kujisifia kuwa sasa amerudi na midoli/mapacha wawili kifuani (matiti bandia) baada ya kujitengeneza upya na kudai hakuna linaloshindikana chini ya jua,mrembo kutoka Kenya aliyetikisa vichwa vya habari baada ya kutokea kwenye video ya P Unit You Guy kama video Qeen na kusababisha video hiyo kufungiwa kwa kukosa maadili Vera Sidika amekutana na makavu kutoka kwa wananchi wenye hasira. (Angalia picha alipost Instagram na alichoandika kuhusu matiti yake hapo chini)
0 Maoni:
Toa Maoni