Rapa Souljaboy aumbuka na dola feki kwenye mtandao


Rapa Souljaboy ameumbuka baada ku-post picha Instagram na video akionyesha ameshika bunda la madolari (Dollar) na kugundulika pesa hizo ni pesa feki na kuwa dola iko juu yanayofata ni makaratasi yaliyokatwa kwa ustadi mkubwa na kuonekana kama pesa!
Angalia kwa makini utagundua pesa hizo ni feki
Jamaa alijua hakuna atakaegundua na kuamua kuonyesha mashauzi lakini bila kutegemea aliambulia kuaibika baada shabiki kumchana live kitu kilichofanya afute picha na video hizo 'fasta' lakini bahati mbaya wajuzi wa mambo walishazidaka na kugeuza story lol!

Na haya ndio aliyoambulia kutoka kwa shabiki..michano!


0 Maoni:

Toa Maoni