Huku kila staa aking'aa kivyake kwenye zulia jekundu Tuzo za MTV VMA 2014 zilizofanyika jumapili Carlifonia Marekani, Mrs.Wizy Khalifa mwanamitindo Amber Rose aliibuka na kivazi cha ajabu ambacho asilimia kubwa ya maungo yake yalikuwa wazi huku kukiwa na maneno kuwa eti alitaka kumfunika Rihanna!
MamuAfrica blog inaomba uchukue Time yako kushuka chini kuangalia kivazi hicho pamoja na vingine kutoka kwa mastaa wenye majina makubwa...
![]() |
| Amber Rose na Wiz Khalifa |
![]() |
| Beyonce |
![]() |
| Kim Kardashian |
![]() |
| Nick Minaj |
![]() |
| Igy Azalea |
![]() |
| Katy Perry na mpenzi |
![]() |
| Mama kijacho Kelly Rowland |
![]() |
| Jennifer Lopez |
![]() |
| Kendal, Kim na Kyle Kardashian |
![]() |
| Tylor Swift |













0 Maoni:
Toa Maoni