Gharama ya kucha za Rita Ora kwenye VMA's gumzo... ni zaidi ya milioni 80 za kibongo!


Rita Ora ni mmoja kati ya warembo waliovuta macho ya watu wengi kwenye tuzo za VMA's sio kwa sababu tu alipendeza ila urembo wake wa mikononi ikiwemo kucha zake zilizorembwa kwa vito vya Almasi zilizogharimu $56,000...zaidi ya milioni 89 za kibongo! (diamond customised manicure) zilikuwa kivutio..

Cheki picha zake hapa...



0 Maoni:

Toa Maoni