Ikiwa ni jumatatu tu toka mpenzi wake Karueche afunguke kuhusu penzi lao,Chris Brown nae ameibuka na kummwagia sifa akisema wanaelekea kufika miaka mitano lakini bado bidada huyo anasimamoa vyema penzi lao pamoja na majanga yake yote huku akidai ni muda wa kutulia sasa! Cheki picha aliyotupia na alichoandika..
Baada ya Karruche kufungukia penzi lao,Chris Brown aibuka
Ikiwa ni jumatatu tu toka mpenzi wake Karueche afunguke kuhusu penzi lao,Chris Brown nae ameibuka na kummwagia sifa akisema wanaelekea kufika miaka mitano lakini bado bidada huyo anasimamoa vyema penzi lao pamoja na majanga yake yote huku akidai ni muda wa kutulia sasa! Cheki picha aliyotupia na alichoandika..

0 Maoni:
Toa Maoni