Beyonce adaiwa kutumia nguvu kubwa kupingana na tetesi za kuyumba kwa ndoa yao

 

Beyonce ameendelea kupost picha akiwa na mume wake rapa Jay Z wakiwa kimahaba zaidi kitu kinachotafsiriwa anatumia nguvu kubwa kushindana na tetesi za kuyumba kwa ndoa yao ambayo imeripotiwa imekalia 'kuti kavu'.

Hizi ndizo picha alizotupia Beyonce kwenye mtandao lakini akionekana bado hajavaa pete ya ndoa wala ile tattoo iv haipo. (kwenye picha hapo chini kuna kiduara chekundu kinaonesha hilo)..


0 Maoni:

Toa Maoni