Inakuhusu hii kama vipi dumbukia usome vizuri..


Kila jumatatu hadi ijumaa inapofika saa 3 asubuhi mpaka saa 6 kamili mchana kipindi cha Hatua Tatu kinakuwa hewani kupitia 100.5 Times fm radio. Hapo nakuwa na team yangu Edson Mkisi na Dj R guy na nyuma kuna prodyuza anayefanikisha mengi unayoyasikia aitwa ClifordMario Ndimbo.

Ni kipindi cha kijamii lakini ndani yake kuna burudani ya kutosha tu kama mziki mzuri,ucheshi wa hapa na pale na mambo mengi mazuri..nakukaribisha kusikiliza na kuwa mmoja kati ya mashabiki wazuri wa pindi hili..

Unaweza nicheki Instagram na twitter pia @maryamkitosi na facebook Maryam David Kitosi.

Nikiwa studio na Nando na Dj R Guy kwa mbali
Na Mkisi Jr kwa mbalii


1 comment: