Davido akata mzizi wa fitna kwa Wizkid baada ya kufunguka kupitia twitter


Baada ya habari za beef kati yao kuchukua nafasi kwenye vichwa vya habari mfululizo huku kila mmoja akisema lake, Davido amefanya kitu kilichotafsiriwa kuwa hakuna tatizo tena kati yake na Wizkid kama inadaiwa na kudahaniwa pia.

Muda mfupi baada ya Wizkid kuachia album yake inayoitwa Joy kwenye i-tunes nyota njema imeonekana baada ya kukaa nafasi ya juu kabisa yaani namba moja kwenye World Album Chart huku Psquare's wakikamata nafasi yao 4 ndipo Davido alipotumia ukurasa wake wa twitter kumpongeza

Hii ni tweet ya Davido akitoa pongezi
Hii ndio world album chart

0 Maoni:

Toa Maoni