Ni zaidi ya mwaka sasa tangu aliyekuwa mshiriki wa BBA na mwanamuziki kutoka Nigeria Suzan Harvey 'Goldie' alipofariki dunia ( Febr 14,2013) huku akiacha mipango mingi ikipotea ikiwemo ule wa kuanzisha Reality show ya televisheni ambayo kwa pamoja na rafiki yake mpenzi Denrele Edun wangeonekana.
Akifanya interview na Sahara Tv, Denrele amefunguka kuwa Goldie amekuwa akimtokea ndotoni mpaka sasa akimlalamikia kuwa anajua aliyemuua lakini hafanyi chochote kuhusu hilo kitu kilichofanya story hii itokee hapa ndani ya MamuAfrica blog;
Cheki mahojiano hayo hapa chini.
0 Maoni:
Toa Maoni