Akiwa keshaingizwa kwenye mitindo mapema, mtoto wa mastaa Kanye West na Kim Kardashian, North ameonekana akipata tabu ya kutembea baada ya kuvalishwa viatu vinavyoonekana kumuelemea kwa uzito!
Wakigeuka kivutio baada ya kuwasili kwenye maonyesho ya mitindo Paris yanayojulikana kama Balenciga Fashion show, North West alitupia mavazi yanayofanana na baba yake huku sweater lake la juu likiwa na chata ya Yeezus.
Hapa wakati wakiwasili Paris..





0 Maoni:
Toa Maoni