Hao unaowaona hapo picha wanaitwa Mary na Vertasha Carter ni mtu na mama yake mzazi lakini ni zaidi pia ya mama na mwana ni wapenzi.... tena wanajihusisha yale ya jinsia moja yaani wasagaji!
Kwa mujibu wa reports, Mary Carter amefunguka bila uwoga kilichopelekea kufanya ufirauni huo na mtoto wake wa kumzaa:
“ Mimi na Vertasha tulijua tumevutiwa na kila mmoja alipokuwa na miaka 16 lakini tukaamua tusifanye mapenzi na tusubiri mpaka afike miaka 18 umri wa kisheria. Sasa tunajitokeza hadharani pamoja bila uwoga kuhusu uhusiano wetu na hii pia tunasaidia wale wenye uhusiano wa jinsia moja kama sisi mama na mwana kujiamini na kujitokeza hadharani.Tunataka dunia ijue tunapendana kama mama na binti yake na tuanapendana kimapenzi pia''
Binti yake Vertasha nae anafurahia uhusiano wao bila shaka nae alizungumza kwa upande wake ;
“ Mama yangu bado ni mama yangu.. anafanya majukumu yake ya kawaida kama mama; anananinunulia nguo, ananilipia chakula, ananifundisha kutengeneza kitanda chetu kifupi tunafurahia mapenzi yetu kila mmoja''
Ama kweli dunia inaelekea pabaya maana kwenye vitabu tuliambiwa nyakati za mwisho yatajitokeza mambo ya ajabu na kushangaza ndio haya sasa...mimi nimeshangaa, nimesikitika mpaka basi nikaamua ku-share na wewe msomaji wa MamuAfrica blog ujionee ya dunia!

0 Maoni:
Toa Maoni