Ujumbe muhimu kwa msomaji wa blog hii..


Jamani waungwana ukimya wa humu ndani unatokana na matengenezo ya blog yanayoendelea ila nitakuwa natupitia story kadhaa kila mara so endelea kutembelea hapa. Pia usikose kusikiliza kipindi changu cha Hatua Tatu kinakuwa hewani kila jumatatu mpaka ijumaa kupitia Times fm 100.5 saa 3 asubuhi mpaka saa 6 mchana.

1 comment: