Kifua cha Iyanya chachizisha kinadada...wagombania kukishika!


Akiwa kwenye ziara yake ya muziki UK mkali wa Kukere kutoka pande za Nigeria Iyanya  ameamsha hisia za kinadada baada ya kuvua shati na kuwaachia kinadada 'wahangaike' na kifua chake kilichojengeka kiume....ona sasa kilichotokea!


0 Maoni:

Toa Maoni