Tyga amtolea uvivu shabiki baada ya kupewa makavu...



Baada ya kuzidisha ukaribu kupita kiasi ukaribu unaoleta tetesi kuwa wawili hawa ni wapenzi japo wenyewe hawajaamua kufunguka, wawili hawa wamekuwa wakikutana na maneno huku mengi yakiwa ni ya kuudhi kutoka kwa mashibiki..namzungumzia rapa Tyga na mdogo wa mwanamitindo Kim Kardashian, Kyle Jenner ambaye ana miaka 17 tu sasa.

Jana rapa huyo mwenye miaka 24 aliweka picha ya mtoto wake ambapo alijitokeza shabiki na kurusha comment ya kumshambulia ambapo mzee mzima uzalendo ulimshinda na kujibu makavu hayo kwa ghadhabu..soma alichoandika shabiki na alichojibu Tyga.
@smartchik78 “Nasty ass pedophile..your career and family is worth losing over this Kardashian baby thot @kyliejenner..I hope @blacchyna takes you away from your son..you should be locked up.”
Tyga akajibu..
“@smartchik78 why u sound so hateful. U don’t know shit bout my life but the fake shit u read online. Worry about your sad boring life. U wish u can have a baby by a nigga like me and live this lifestyle.let me guess no one wants u or ever attempted to spoil u and give u the world like I do for mines. Your ugly not just physically but in your soul. Never speak on on my son.”

0 Maoni:

Toa Maoni