Oprah apamba jarida la O The Oprah Magazine akionekana bomba zaidi.


Akiwa na miaka 60 sasa mwanamama Oprah Winfery ameoneklana bomba sana baada ya kupamba  ukurasa wa mbele wa jarida la O The Oprah Magazine akizungumzia kuhusu mafanikio yake na mambon kibao.
'I wake up every morning and the first sentence that comes through my brain is, "thank you,'If you focus on what you have, you will begin to see that you have more,And if you focus on what you don’t have, you will always live in a space of lack.' Amefunguka Oprah.

0 Maoni:

Toa Maoni