Tetesi za Ebola nchini...wizara ya Afya yatoa tamko


Huku tetesi zikiwa zimezagaa kwa kasi kubwa kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kuingia nchini Tanzania huku kila mtu akisema lake Wizara ya afya na Ustawi wa Jamii, imesema kuwa ugonjwa wa ebola bado haujaingia nchini kama ambavyo baadhi ya watu wanadai.

Akizungumza na Times Fm, Msemaji wa Wizara hiyo, Nsachris Mwamwaja amesema kuwa ugonjwa huo ni janga la kimataifa na kwamba endapo ungekuwa umeingia Tanzania wizara hiyo haina sababu za kuficha.

Ingia hapa kwenye tovuti ya redio Times kusikia akizungumza  http://www.timesfm.co.tz/blog/2014/10/20/6820-wizara-ya-afya:-hakuna-ebola-tanzania-%28audio%29 

0 Maoni:

Toa Maoni