Awararua vibaya usoni mabinti kisa kaitwa Harry Potter!

Ryn na Binti aliyemjeruhi kwa kisu usoni
Kijana mdogo wa miaka 19 Ryan Walker amewajeruhi vibaya mabinti baada yakumuita HARRY POTTER kutokana na muonekano wake.

Ryn anavaa miwani na ana nywele fupi nyeusi kitu kilichofanya mabinti wamafananishe na muigizaji Daniel Radcliffe wa kwenye movie ndipo akamind na kumrarua mmoja kwa kisu usoni na mwingine alimpitisha kwenye fensi kwa nguvu huku akipiga kelele ''kufa..kufaaa''!!

Mmoja wa binti aliyejeruhiwa

0 Maoni:

Toa Maoni