Japo walikana kuwa uhusiano wa kimapenzi na kudai kuna project inaendelea mwanamuziki Diamond Plattnumz na mrembo kutoka Uganda Zari wanazidi kuzua gumzo baada ya kuonekana pamoja wameshikana mikono kwenye tuzo za CHOAMVA nchini Afrika kusini lakini kinachozua gumzo zaidi ni picha nyingine za kimahaba zinazoendelea kuvuja kutokea Afrika kusini ambapo bado wapo huko...zicheki hapa!
Picha nyingine za kimahaba za Diamond na Zari zavuja..
Japo walikana kuwa uhusiano wa kimapenzi na kudai kuna project inaendelea mwanamuziki Diamond Plattnumz na mrembo kutoka Uganda Zari wanazidi kuzua gumzo baada ya kuonekana pamoja wameshikana mikono kwenye tuzo za CHOAMVA nchini Afrika kusini lakini kinachozua gumzo zaidi ni picha nyingine za kimahaba zinazoendelea kuvuja kutokea Afrika kusini ambapo bado wapo huko...zicheki hapa!
Majanga
ReplyDelete