Ujumbe kwako msomaji wa MamuAfrica blog...dumbukia hapa


Habari zenu wapendwa wasomaji na watembeleaji wa MamuAfrica blog? Mie mzima. Najua kimya kimezidi humu ndani na ni kutokana na majukumu fulani hivi lakini sasa nimerudi rasmii na kuanzia kesho kazi inaanza inshallah, kama kawaida utapata habari, matukio, udaku n.k.Cha kufanya endelea kutembelea hapa.

Nawatakia mwanzo mwema wa wiki,nawapenda.

1 comment: