Kiatu kirefu champonza Kim Kardashian


Baada ya ku-share picha inayomuonyesha akiwa na mume na mtoto wake walipotembelea zoo Kim Kardashian, amechanwa kutokana na kuvaa kiatu kirefu sehemu ambayo si sahihi. Kim na mume wake Kanye West walionekana wanafurahia mandhari nzuri ya eneo hilo wakiwa na mtoto wao Noth lakini mtazamo wa mashabiki wake ulikuwa tofauti kutokana na kutinga heels!

Shuka chini hapa kucheki picha na baadhi ya maoni yaliyotolewa na watu;

LOL!

0 Maoni:

Toa Maoni