Baada ya habari za baba wa kufikia wa Kim Kardashian, Bruce Jenner kutaka kubadili jinsia kuenea kwa kasi, mama mzazi wa Bruce..Ester Jenner amefungukia ishu hiyo.
Katika mahojiano aliyofanyiwa na mtandao wa Radar, Ester amethibitisha kuwa taarifa hizo ni za kweli na imemchukua miaka 65 kugundua kuwa anataka kuwa mwanamke huku mama huyo akifunguka kuwa anajivunia Bruce na mamuzi yake ya kutaka kubadili jinsia na kusisitiza kuwa maamuzi yake yaheshimiwe.

0 Maoni:
Toa Maoni