Matatu hizo za Kenya zimeamua kuweka huduma ya bure ya Internet kwa abiria wao wakati wakienda ama kutoka kazini.
Ukiwa ndani ya Matatu hizo unaweza kusoma barua pepe na kusoma habari kwenye mitandao mbali mbali.
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni