KOCHA wa timu ya Taifa ya Brazil Luiz Felipe Scolari amesema mchezo wa leo wa nusu fainali ya Confederations Cup dhidi ya Uruguay ni mchezo muhimu kwao na ushindi utasaidia kuweka mambo sawa nchini humo.
Kumekuwa na hali ya sintofahamu nchini Brazil kufuatia wananchi kuchukizwa na fedha nyingi iliyotumika kwenye ukarabati wa viwanja kwaajili ya kombe la dunia,na imelazimika kupandishwa kwa nauli ili kufidia fedha hizo.

0 Maoni:
Toa Maoni