SI KILA MSHIRIKI BIG BROTHER AFRICA ANA NJAA..CHEKI LAMBORGHINI YA MWANADADA POKELLO!

Pamoja na kushiriki shindano la Big Brother Africa ili kuwania kitita kinono cha dola 300,000 bado si sababu ya wewe kufikiri ni njaa tu ndio inawapelekea watu kujitosa la hasha! Hii itajidhihirisha baada ya wewe kuchukua time yako kucheki mkoo mkali aina ya Lamborghini anaomiliki mwanadada kutoka nchini Zimbabwe Pokello!












Baada ya kuingia BBA mwanadada Pokello alikumbwa na kashfa baada ya video yake ya ngono akiwa na mpenzi wake kuvuja.Pamoja na hilo baba wa Pokello amefunguka kuwa hana tatizo na video hiyo kwa sababu mtoto wake alikuwa kwenye starehe zake za kawaida na mpenzi wake!

0 Maoni:

Toa Maoni