Haiwezi kupita wiki bila mwanadada huyu ku-make headline katika mitandao..Huddah Monroe mwanadada mrembo kutoka nchini Kenya ambae alipata nafasi ya kuiwakilisha nchi yake katika shindano la Big brother Africa mwaka huu linaloendelea nchini Afrika kusini lakini alikaa kwa siku 7 tu na kutoka.Lakini pia aliwahi kuwa mpenzi wa rapper kutoka kenya Prezzo ila haijulikani wanaendelea au lah kutokana na mkanganyiko wa mambo.
Ukitembelea mitandao mbalimbali ni kawaida kukutana na picha zake alizojianika mtupu na baada ya kupumzika kidogo picha yake nyingine imesambaa mtandaoni ikimuonesha mtupu ila kaifunika na bendera ya nchi yake! cheki hapo chini..
Jana asubuhi alipost picha ya kitanda cha Prezzo kikiwa na handbag yake juu yake...sijui waliamka pamoja!
Caption ya picha ni hii hapa:
Inaonekana ni dongo kwa mtangazaji wa hapa Tanzania Diva kutokana na malumbano waliyokuwa nayo kugombea penzi la Prezzo ambapo hivi karibuni Diva alionekana na tattoo yenye jina la Prezzo mkononi!
Majangaa!
0 Maoni:
Toa Maoni