Kutoka Nollywood Rita Dominic atimiza miaka 38! Happy birthday

Mwanadada kiwango kutoka kiwanda cha filamu Nigeria Rita Dominic leo anasherekea miaka 38 toka kuzaliwa kwako.Alizaliwa Huko Mbaise nchini Nigeria tarehe 12 july 1975 mji ambao staa mwingine kutoka Nigeria Genevive Nnaji alizaliwa.

Jinsi alivyo hot na mrembo unaweza kufikiri ana miaka 25 tu!


Kupitia twitter account yake kachukua time na kushukuru Mungu kwa siku hii muhimu..


0 Maoni:

Toa Maoni