Kutoka BBA Malawi waaga shindano

Jana ulikuwa ni usiku mwingine tena ambao ni wa huzuni baada ya washiriki wawili kuaga shindano la Big Brother The chase. Baada ya kudumu kwa wiki saba mwanadada Selly kutoka Ghana na Natasha kutoka Malawi jana waliaga rasmi shindano na  kufanya Malawi kutokuwa na mshiriki tena baada ya wiki iliyopia Mmalawi mwingine Fatima kutoka.

Selly
Natasha
Wiki iliyopita washiriki kutoka Tanzania walikuwa salama na leo kama kawaida nomination zinaendelea na ikifika usiku majina ya wataokuwa nominated yatatangazwa.

0 Maoni:

Toa Maoni