Katika kauli yake inspekta Kaindi amesema unakuta askari yupo kazini lakini amevaa nguo za fasheni huku ana hereni,bangili,cheni kubwa,lipstic n.k.
Kauli hiyo imeibua mjadala mzito katika mitandao nchini Kenya huku wengi wakiitafsiri ni kama ukoloni mambo leo. Pia watu wamemshauri Kaindi awaruhusu askari wajipodoe maana ni haki ya mwanamke.
Hivi na bongo Askari wetu wa kike huwa wanjipodoa sana wakiwa mzigoni? na unaonaje kuhusu maoni ya Inspekta Kaindi?

0 Maoni:
Toa Maoni