Kaka wa Peter na Paul,Jude Okoye ndiye aliyesign na mwanadada huyo mrembo katika record label yake binafsi inayoitwa Northside Music Inc ambayo ni tofauti na ile ya P square yaani Square Record na tayari mwanadada huyo amesha-release video ya wimbo wake mpya Kuchi Kuchi.
Kupitia ukursa wake wa twitter Jude Okoye kathibitisha hilo



0 Maoni:
Toa Maoni