Baada ya kutemana D'Banj na Don Jazzy waungana tena harusini

Baada ya kutofautiana na kila mtu kuamua kufanya kazi kivyake rapper kutoka nchini Nigeria D'banj na aliyekuwa business patner na prodyuza wake ambae alihusika kumtengenezea ngoma kali kama Oliver Twist,Fall In love na nyingine Don Jazzy wamejikuta wameungana kwenye harusi ya dada wa D'banj iliyofanyika Lagos weekend iliyoisha.
Taiwo Oyebanjo (Dada wa D banj)
Furaha kwa wageni waalikwa iliongezeka baada ya D'banj na Don Jazzy kupafomu pamoja ngoma waliyowahi kuitengeza na ikafanya vizuri naizungumzia Fall in love!
D'banj na Don Jazzy
Mwaka jana wawili hawa walihitilafiana na na kila mmoja kufanya kazi kivyake.Inaonekana pamoja na malumbano yaliyotokea jamaa bado wana urafiki kifupi no beef.

0 Maoni:

Toa Maoni