Times fm yafuturisha watoto yatima

Jana wafanyakazi wa Times fm na Viongozi wake waliungana na watoto yatima zaidi ya sitini wa kituo cha Al-Hidaya Orphanage kilichopo Buguruni Mnyamani jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Times Fm Rehure Nyaulawa amesema wamejitolea pia kuwalipia kodi ya pango kwenye nyumba wanayoishi kama walivyowasilisha maombi ya kuisha kwa pango na kuiomba jamii kuendelea kukisaidia kituo hicho na vituo vingine katika mahitaji mbalimbali.

Naye mkurugenzi wa kituo hicho cha Hidaya Rashid Hamis ameishukuru Times fm kwa kujitolea kukisaidia kituo hicho kwa ni kinakabiliwa na changamoto mbalimbali.


Watoto wa Hidaya
Ummy ,Sandy B na Neema
Mie na Dida The Rocker

Dj KU, Sinda King & Raheem the Prince
Jors Bless, Dj R Guy & One b
Fadhili Haule & Ezden The Rocker
Vijana waTimes fm
Dereva wa Times fm Baba Kefa
Captain G Habash
Ibra,Ezden & Fadhili
Kutoka kushoto Natasha,Mie,Ummy & Dida
Sandy B, Mie, Dida & Ummy

1 comment: