Hatimaye muda na wakati umewadia wa kushuhudia fainali za shindano la BBA The chase ikiwa yamesalia masaa machache tu na tayari baadhi ya washiriki waliokwishatoka wameshatua Afrika Kusini kwa ajili ya kushuhudia fainali hizo akiwemo Huddah Monroe (Kenya), Nando (Tanzania),Bimp (Ethiopia) Denzel (Uganda) na Hakeem (Zimbabwe).
Cheki baadhi ya picha alizopost Huddah Monroe katika ukurasa wake wa Instagram
 |
| Picha ya juu Huddah akiwa na Bimp na Nando na chini akiwa na Hakeem |
 |
| Huddah na Denzel |
Pamoja na mengine fainali hiyonitapambwa na burudani ambapo mwanadada Keko kutoka Uganda atapamba stage,Ice Prince na R2bees kutoka Ghana wadondosha burudani pia.
 |
| Keko |
 |
| Ice Prince |
 |
| R2Bees |
Kutoka Times Fm Allen Mushi na aliyekuwa mshiriki wa BBA Star game Julio wamechaguliwa kuiwakilisha Tanzania katika fainali hizo kesho.Cheki video chini ya Allen Mushi akizungumza.
0 Maoni:
Toa Maoni