Akiwa ametupia picha hizi katika mtandao wa Instagram zikimuonyesha yuko gym,mashabiki wake wengi wamemsifia kwa uamuzi huo maana wengi walihofia mwanadada huyo akirudi katika game na uzito alionao sifa ya kiuno bila mfupa inaweza kupotea.
PICHA: Ray C akijifua kuondoa ubonge
Akiwa mwenye afya tele na furaha sasa mwanadadac Ray C anajifua vilivyo kurudisha mwili wake wa zamani baada ya kunenenepa sana.
Akiwa ametupia picha hizi katika mtandao wa Instagram zikimuonyesha yuko gym,mashabiki wake wengi wamemsifia kwa uamuzi huo maana wengi walihofia mwanadada huyo akirudi katika game na uzito alionao sifa ya kiuno bila mfupa inaweza kupotea.
Akiwa ametupia picha hizi katika mtandao wa Instagram zikimuonyesha yuko gym,mashabiki wake wengi wamemsifia kwa uamuzi huo maana wengi walihofia mwanadada huyo akirudi katika game na uzito alionao sifa ya kiuno bila mfupa inaweza kupotea.

0 Maoni:
Toa Maoni